PATA GB14 BUREE TIGO& HALOTELI
Gb 10 bure kwa wenye Tigo na halotel Kabla sijakuja kuendelea ngoja niwape mchongo kizuri kula na Mwenzio tigo na halotel sahivi wanatoa ofa ya Magb ya bure Unachotakiwa kufanya kama ni tigo unatuma neno BURE unaliandika kwa herufi kubwa kwenda namba 15166 Unapata gb 14 buree jaribu hii utakuja kunipa mrejesho Kwa mnaotumia halotel cha kufanya download app ya halopesa tu ukilog in tu unapata ofa ya gb 2 na dk week nzima Jaribuni hizi mtakuja nishukuru
Comments
Post a Comment